Ooh Sorry sijaweka ushauri, nazani
Mweleze tu kwamba azingatie uwepo wako kwahyo awe anaongea kiswahili atleast wageni wanapokuwepo ili na ww uweze kujumuika kimaongezi, wengine wanakwambia ujifunze hyo lugha jamani sio rahis mwingine lugha ya kwao tu bado ni tatizo kuielewa sembuse lugha ya mwenzio
Hapo ndipo huwa nakupendea! Yaani unatabasamu kweli nikiwa nagonga kikwetu pindi wageni wanapotutembelea kwenye familia yetu! Ama kweli NIMEPATA MKE, LOL! Wanune, walie, shauri yao!
Tatizo huwa mnaongea kichina sijui kikorea kile!
Af mjue sio kibantu kile,sarufi yake na matamshi yako kivyake!
Siambui hata moja!
Najionea sawa tu!
Ongeeeeeeeni weeeeeeeh mkimaliza atakuja kuongea kiyunani parkushonare!baaas.
Mi nkashanga!Hee King'asti mbona sina taarifa hizi za muuza ubuyu???
Af unifundishe kichaga,nahs kabisa mangi akitembelewa na kina miss chagga Nicas Mtei, Mkirua , Asprin na Kaizer wananichakachua!
Haki vile!
ah nilisahau!Haaaa.mwalimu hujatoa maana ya neno apo juu kisha unazunguka tu....haya naona "wema.wa Mungu umekuzunguka"
Leo tuende wapi?
Mtu akianzisha chuo cha kufundisha lugha za makabila atashangaa wanafunzi tele
Tena mie akija mdogo wangu CANtalasia, namuambia kabisa paw kamtafute Asprin mnywe bia. Yaani tuache kupiga umbea wa nyumbani kisa? Waache wakuseme na waseme ya kwao. Watu miaka 35 wamejuana, hii yako 5 ndo unataka ujue kila kitu, imekuwa phd? Waache waongee ya kwao, mie najiamini miaka laki 8 hehehe
Hapo ndipo huwa nakupendea! Yaani unatabasamu kweli nikiwa nagonga kikwetu pindi wageni wanapotutembelea kwenye familia yetu! Ama kweli NIMEPATA MKE, LOL! Wanune, walie, shauri yao!
Kwa hiyo mama zako wadogo sijui antiez wakiongea kilugha chenu ,nao wanakukera?Mh ndugu kujifunza lugha ya mtu ni kazi kwelikweli,cha kwetu chenyewe nasikia tu ila kujibu ni shida.
Hee King'asti mbona sina taarifa hizi za muuza ubuyu???
Mi nkashanga!
Nkasema emmh nijipitie pembeni!
Hivi tulikubalianaaje kuhusu stalking me? Paw simuachi miaka laki 8, na nduguze wakija nawapa juisi washushie kilugha wakati nawapikia chakula cha kwao. Tafuta kichaka ufyeke, ukiona matuta ujue ni bustani ya wenyewe. Muone kwanza!
Na wewe! Haya bwana kama unanitenga. Ntampeleka wapi huyu hana shares jeiefu? Niko kimkakati zaidi
Kuna watu wanatamani kukosa raaha!
Yan uskute umeandaa tamasha la wanandoa ukawaambia waandike matatizo ya ndoa zao,huyu anaweza akaandika hili kuwa ni tatizo!
ah nilisahau!
Usengwile ni ahsante!
Ukitaka umalize weka hii ,na chilau mewawa!(na kesho tena)wabantu sie atiii!
Kwa mwanamke akigalagala chini ndo daaaaah!
Wenyewe tunasema kugalauka!