Habari zenu jamani,mimi ni mwanamke mwenye watoto 3 na mume wa ndoa!ndoa yetu namshukuru Mungu anatusaidia tunaishi vizuri kwa maelewano!
Shida yangu ni kuwa mume wangu ni kabila tofauti na mimi,sasa yeye anapenda kweli kuongea kilugha na ndugu zake either kwa simu au hata wakija nyumbani kutusalimia!yeye haoni kama ni shida na nalielewa hilo,tatizo ni kwamba wakati mwingine natamani kusikia wanachokiongea ila ndo hivyo nashindwa.Kumuambia nahisi kama namnyima raha.
Ninachoomba ni msaada wa jinsi ya kumuapproach kumweleza natamani na mimi nichangie katika maongezi bila yeye kufikiri vibaya maana ni mtu anapenda kuongea sana kikwao yani.
Women!!!!! Wonders will never cease!
Muachie na uhuru na ndugu zake jamani! Mume umemkwapua kutoka kwa watu waliom'beba, akaanza kukua wakamtahiri, wakamsomesha. Umemkuta juzi hapa unataka ummiliki hadi lugha ya kwao? Muache aongee ili na wewe ujifunze lugha ya ukweni na wanao pia.
ila wanaume mna kazi! Mweeeh!
prax chukua maneno haya yatakusaidia!Women!!!!! Wonders will never cease!
Muachie na uhuru na ndugu zake jamani! Mume umemkwapua kutoka kwa watu waliom'beba, akaanza kukua wakamtahiri, wakamsomesha. Umemkuta juzi hapa unataka ummiliki hadi lugha ya kwao? Muache aongee ili na wewe ujifunze lugha ya ukweni na wanao pia.
ila wanaume mna kazi! Mweeeh!
Af unifundishe kichaga,nahs kabisa mangi akitembelewa na kina miss chagga Nicas Mtei, Mkirua , Asprin na Kaizer wananichakachua!
Haki vile!
Hapo ndipo huwa nakupendea! Yaani unatabasamu kweli nikiwa nagonga kikwetu pindi wageni wanapotutembelea kwenye familia yetu! Ama kweli NIMEPATA MKE, LOL! Wanune, walie, shauri yao!Women!!!!! Wonders will never cease!
Muachie na uhuru na ndugu zake jamani! Mume umemkwapua kutoka kwa watu waliom'beba, akaanza kukua wakamtahiri, wakamsomesha. Umemkuta juzi hapa unataka ummiliki hadi lugha ya kwao? Muache aongee ili na wewe ujifunze lugha ya ukweni na wanao pia.
ila wanaume mna kazi! Mweeeh!
Hapo ndipo huwa nakupendea! Yaani unatabasamu kweli nikiwa nagonga kikwetu pindi wageni wanapotutembelea kwenye familia yetu! Ama kweli NIMEPATA MKE, LOL! Wanune, walie, shauri yao!
Hahahahaaa, regardless ......., struggle continues!Wewe umejiunga lini hapa JF? unamjuwa Paw? subiri ban za ajabu zianze kukutembelea ndio utajuwa kwa nini Vicky Kamata aliachwa peke yake kanisani.
Haaa hivi hujajua tu
Ngoja nianze darsa..."usengwile"...taja maana kabla hujaenda kwen baraza la Idd!