Prince kelly
Member
- Aug 29, 2017
- 43
- 48
Please nahitaji kufahamu vzr
Ninayo nimenunua macbook7.1 nilkw natAka for games INA ram 2gb storage 250 core 2duo. Processor 2.4 je itafaaUngetaja matumizi yako kwanza. Kitu fulani kuwa bora kinadepend na unavyokitumia.
So for games Mac azifaibora kivipi, inategemea na matumizi yako...
kama una deal na editing ,rendering,3d modelling mac ni nzuri ila ukitaka gaming window ni nzuri.........
Kupata game za mac ni shida sana sidhani hata kama wanazitengenezaga mimi ninayo imac naitumia tu kwa kutengeneza graphics na matangazoNinayo nimenunua macbook7.1 nilkw natAka for games INA ram 2gb storage 250 core 2duo. Processor 2.4 je itafaa
Hapo uza tu nunua yenye Windows kama lengo ni kwa ajili ya game.Ninayo nimenunua macbook7.1 nilkw natAka for games INA ram 2gb storage 250 core 2duo. Processor 2.4 je itafaa