Msaada: Nahitaji kujua kama NMB kitengo cha ICT waliita interview

Msaada: Nahitaji kujua kama NMB kitengo cha ICT waliita interview

paramawe

Senior Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
151
Reaction score
24
Kwa anayefahamu NMB kitengo cha ICT walitangaza nafasi za kazi deadline ilikuwa tarehe 4 mwezi huu, vp wameishaita interview juu kwa juu au tusubiri?
 
Kwa anayefahamu NMB kitengo cha ICT walitangaza nafasi za kazi deadline ilikuwa tarehe 4 mwezi huu, vp wameishaita interview juu kwa juu au tusubiri?
Me mwenyewe niliomba hizo, ila cha ajabu nimeshaitwa kwenye organization nyingine wao bado, Ngoja tusubiri tutapata majibu
Kimya kingi kina mshindo mkuu.
 
NMB bado hawajaita.. taarifa kutoka mtu wa ndani
Asante Mkuu kwa taarifa za kiufufuo; Utujuze basi mambo yakikaa vizuri ili angalau tufahamu yanayojiri tu inatosha, hata kama tutamwagwa.
 
Back
Top Bottom