Msaada, nahitaji kujifunza Arduino

Msaada, nahitaji kujifunza Arduino

johnmweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
201
Reaction score
268
Nimeanza kusoma soma baadhi ya vitabu kuhusiana na hii kitu(Arduino) na nimekuwa interested kujifunza zaid ila nimepata changamoto kubwa mbili.

kwanza ni kuhusu vifaa sijui naweza vipata wapi kwa hapa Dar-es-salaam, nikajaribu kutafuta altenative kama kuna simulation software yoyote ila nimejitahidi kuitafuta sijaipata.

Kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia kuhusiana na kimojawapo kati ya hivi vitu nilivyovitaja naomba anisaidie.

Pia kama unaweza nipa muongozo kuhusiana na vitabu vipi ni vizuri nitashukuru zaidi.
 
Kaka binafsi ni mfuatiliaji sana wa vitu vigen kama hivyo ebu weka waz kwanza ni nn hiyo Arduino naweza nikawa mshirika mwenzako
 
Arduino ni open source hardware. Adruino benafsi nilikifuatiliaga sana kifaa hiki nakutengeneza vifaa vyangu mi binafsi kama invisible securty kwa kutumia lasser diode nilizozipata kutoka dvd room ya pc, pia kigari kidogo nilicho kuwa nakikontrol kwa kutumia gsm(simu) na kompyuta. Software inadepend ww ni mjuzi wa c, cc, c+ programing, au java kwa mm nilijua java zaidi.
 
mkuu bado sijafanikiwa kupata, nahisi upatikanaji wake kwa hapa bongo ni mgumu. ila kuna software nimeambiwa inauwezo wa kufanya baadhi ya vitu ndio nataka nianze kuipigia msuli, inaitwa lab view
 
Kuna brother anayo latest version: Arduino Leonardo R3. Kama utahitaji nikuunganishe naye. Anadai hata kama unapenda UNO R3 ambayo ni common anaweza ku-supply maana kuna mzigo anategemea kuupokea mwezi July. Kama unahitaji ni-PM.
 
Tafuta kitabu hiki, ni kizur .

Programming Your Home Automate with Arduino, Android, and Your Computer

by Mike Riley

Haya ni baadhi ya maneno ambayo nimeyachukua kwenye kitabu chake.

After a basic introduction to home automation and the tools of the trade, this book will teach you how to construct and program eight unique projects that improve home utility and leisure-time efficiencies. Each project incorporates a variety of inexpensive sensors, actuators, and microcontrollers that have their own unique functions. You will assemble the hardware and codify the software that will perform a number of functions, such as turning on and off power switches from your phone, detecting package deliveries and transmitting emails announcing their arrival, posting tweets on Twitter when your bird feeder needs to be refilled, and opening and closing curtains depending on light and temperature, and more.
Because the recommended skill set for building these solutions includes some familiarity with programming, this book builds upon several previously published Pragmatic Bookshelf titles. If you would like to learn more about programming Arduinos or writing Ruby or Python scripts, I strongly recommend checking out the books listed in Appendix 2, ​Bibliography​.
Each project begins with a general introduction and is followed by a What You Need section that lists the hardware parts used. This is followed by a section called Building the Solution that provides step-by-step instructions on assembling the hardware. Programming Your Home will call upon the Arduino extensively for most (but not all) of the projects. Once the hardware is constructed, it can be programmed to perform the automation task we built it to do. Programs can range from code for Arduino microcontrollers to scripts that execute on a computer designed to control, capture, and process the data from the assembled hardware elements.
The book concludes with a chapter on future projections in home automation and a chapter filled with idea starters that reuse the hardware and software approaches demonstrated in the eight projects.

-language anazotumia katika coding ni c,c++, na java kwa ajir ya android tools.

Kuusu vifaa .

Ebay vinapatikana.
 
Tafuta kitabu hiki, ni kizur .

Programming Your Home Automate with Arduino, Android, and Your Computer

by Mike Riley

Haya ni baadhi ya maneno ambayo nimeyachukua kwenye kitabu chake.

After a basic introduction to home automation and the tools of the trade, this book will teach you how to construct and program eight unique projects that improve home utility and leisure-time efficiencies. Each project incorporates a variety of inexpensive sensors, actuators, and microcontrollers that have their own unique functions. You will assemble the hardware and codify the software that will perform a number of functions, such as turning on and off power switches from your phone, detecting package deliveries and transmitting emails announcing their arrival, posting tweets on Twitter when your bird feeder needs to be refilled, and opening and closing curtains depending on light and temperature, and more.
Because the recommended skill set for building these solutions includes some familiarity with programming, this book builds upon several previously published Pragmatic Bookshelf titles. If you would like to learn more about programming Arduinos or writing Ruby or Python scripts, I strongly recommend checking out the books listed in Appendix 2, &[HASHTAG]#8203[/HASHTAG];Bibliography&[HASHTAG]#8203[/HASHTAG];.
Each project begins with a general introduction and is followed by a What You Need section that lists the hardware parts used. This is followed by a section called Building the Solution that provides step-by-step instructions on assembling the hardware. Programming Your Home will call upon the Arduino extensively for most (but not all) of the projects. Once the hardware is constructed, it can be programmed to perform the automation task we built it to do. Programs can range from code for Arduino microcontrollers to scripts that execute on a computer designed to control, capture, and process the data from the assembled hardware elements.
The book concludes with a chapter on future projections in home automation and a chapter filled with idea starters that reuse the hardware and software approaches demonstrated in the eight projects.

-language anazotumia katika coding ni c,c++, na java kwa ajir ya android tools.

Kuusu vifaa .

Ebay vinapatikana.
Kweli mkuu ulivyosema ni sahihi, ukiwa na komitment mtu anaelewa fasta sana. Mimi nilikuwa sijui kukiprogram ila sasa nakielewa kwa kiasi.
 
Nilikuja kugundua kuwa arduino ni kifaa kizuri sana sasa hivi nina project 4 (gaming steering wheel, flight yoke, biogas project automation na solar water heater automation). Yaani kumbe wazungu wanatuchezea sana. Raha ya arduino ni kwamba ukishjua kukikomand kinafanya unavyotaka zaidi ya hapo unaweza ukafuta code na kuandika nyingine na kinapiga kazi kama kawaida. Nipo njiani naelekea Iringa nimebeba arduino mega 2560, methane sensor, water level sensor , temp sensor, 3 bundles za jumper wires, power supply na 20 5k potentimeters. Nikimaliza projects hizi nitaziupload youtube. Ila bila kusahau nafurahi kujua kumbe bongo kuna vijana wanaotumia hii kitu. Tupeane maujanja jamani nasi tusonge mbele.

Mimi ni mwana electronic nahitaji Abc juu ya ardunio, Ni pm your WhatsApp Number
 
Ok, kama unahitaji kujua tutorial zipo nyingi. Zicheki kwanza halafu kama kunakitu kinakupa shida wewe tupia hapa tutakusaidia. Link hii . Cheki video zote 15.
Mimi ni mwana electronic nahitaji Abc juu ya ardunio, Ni pm your WhatsApp Number
 
achana na simulation ya arduino pata board upractise uone uhalisia wenyewe...nicheki 0712163248 nnazo arduino uno R3 za kutosha..gas sensors, motion detector ,tiny gps module pamoja na jump wires (male-female)....kama upo dsm
 
Ok mkuu wadau tupo tutakutafuta. Naulizia relay za 5V unazo?
 
Nimeanza kusoma soma baadhi ya vitabu kuhusiana na hii kitu(Arduino) na nimekuwa interested kujifunza zaid ila nimepata changamoto kubwa mbili.

kwanza ni kuhusu vifaa sijui naweza vipata wapi kwa hapa Dar-es-salaam, nikajaribu kutafuta altenative kama kuna simulation software yoyote ila nimejitahidi kuitafuta sijaipata.

Kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia kuhusiana na kimojawapo kati ya hivi vitu nilivyovitaja naomba anisaidie.

Pia kama unaweza nipa muongozo kuhusiana na vitabu vipi ni vizuri nitashukuru zaidi.
Ukihitaji arduino tuwasiliane me napatikana mbeya .....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom