Msaada nahitaji kuishitaki Serikali

Mkuu nakushauri ujifanye kipofu. Haya manidini milima, maziwa na mbuga za wanyama husizione.
Ukipuuza ushauri wangu utafungwa au kuchanganyikiwa.
Tanzania sio nchi salama ya kuishi watu hasa wenye uwezo mkubwa wa kufikilia (high thinking capacity)
Ukihisi Tanzania si inchi salama unaweza Hama tuu kuna Kenya,Rwanda,Burundi and so on huko watu wanasikilizwa kwa nn ung'ang'anie hapo unakonyimwa Uhuru!!! Halafu unajiita mwenyeakili kubwa kweli wewe!???
 
Nahisi mihemuko inakusumbua. Soma vizuriii post yangu then punguza povu ndo ukoment.
 
Back
Top Bottom