Msaada nahitaji kuishitaki Serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada nahitaji kuishitaki Serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by eddy_mhando, Jun 6, 2016.

 1. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2016
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,339
  Likes Received: 1,869
  Trophy Points: 280
  ndugu zangu watanzania wenzangu kutokana na mwenendo mbovu wa serikali yetu yenye kutumia mabavu...serikali inayoshindwa kufuata misingi ya kidemokrasia...kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua watu wa hali ya chini ndio tunao ubeba na kuupandisha uchumi wa nchi yetu...huku pakiwa na migodi mikubwa ya dhahabu...mito...na tumezungukwa na eneo kubwa la bahari bila kusahau mlima wa KILIMANJARO...ivi inakujia akilini leo mtanzania mwenye kipato cha chini kuchangia kodi ya pango...yani kwenye nchi yangu pakulala pia nipalipie? maji nilipie...umeme nilipie...sukari bei juu...chumvi nk....na kote huko tunakatwa makato...hivyo naomba vipengele muhimu vya kuzingatia ili niweze kuishitaki serikali kwani inatunyonya sana wananchi lasivyo watuambie madini wanapo yapeleka...kinachosababisha niwe na hamu ya kuishitaki hii serikali ni kutokana na mfumuko wa ushuru...hasa iki kitendo cha kulipia pango kinanikera sana...ebu angalia nimejenga nyumba kwa cement ya Tanzania...mabati ya Tanzania...misumari vyote vinatoka Tanzania sasa hiyo pango ya nini na ule ushuru niliolipia kwenye vifaa vya ujenzi umeenda wapi? nielewesheni maana hapa nilipo nimepagawa najikuta naichukia sana Tanzania nakosa amani na nchi yangu sijui nikaishi wapi maana ata nikijikwamua kwa mtaji wa nyanya na bamia bado mgambo watakuja kupiga teke bidhaa zangu...tuna mbuga kubwa za wanyama ambazo ni kivutio kikubwa sana kwa watalii fedha hizo zinaenda wapi?
  wataalamu wa sheria nisaidieni sina mzaha hapo
   
 2. m

  mangatara JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2016
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 10,808
  Likes Received: 6,628
  Trophy Points: 280
  Kwa hisia uliyo onesha hapo, yaonesha weye una hasira kali sana. Punguza hasira, waweza anguka ghafla kumbe BP. JPM hatishwi na maneno we fannza tu
   
 3. KENZY

  KENZY JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2016
  Joined: Dec 27, 2015
  Messages: 6,612
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  duh..
  mambo haya yanawenyewe
   
 4. Robot la Matope

  Robot la Matope JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2016
  Joined: Apr 10, 2015
  Messages: 2,909
  Likes Received: 4,108
  Trophy Points: 280
  Maneno ni sumu
   
 5. Robot la Matope

  Robot la Matope JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2016
  Joined: Apr 10, 2015
  Messages: 2,909
  Likes Received: 4,108
  Trophy Points: 280
  Mkuu nakushauri ujifanye kipofu. Haya manidini milima, maziwa na mbuga za wanyama husizione.
  Ukipuuza ushauri wangu utafungwa au kuchanganyikiwa.
  Tanzania sio nchi salama ya kuishi watu hasa wenye uwezo mkubwa wa kufikilia (high thinking capacity)
   
 6. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2016
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,339
  Likes Received: 1,869
  Trophy Points: 280
  Asante kwa ushauri wako umenipa uoga
   
 7. mkereketwa89

  mkereketwa89 JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2016
  Joined: Aug 27, 2013
  Messages: 255
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  roboti la matope nimependa kipande chako cha tz ni nchi hatari kwa watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria...na ni kweli..sijui tutakombolewa na nani kodi zinaongezeka kipato kinashuka m binafsi na biashara yangu bado ndogo lakini hzo kodi nadhani nitafunga very soon na nimeajiri watu watatu hawa wasiporudia enzi zao za ujambazi sijuiii....tuna tanzanite na mbuga za wanyama nahisi hizi tu zinaeza maliza shida zetu..achana na huo msururu wa resources zingine tulizo nazo na ambazo zinazidi gunduliwa....yaaaniiii
   
 8. Mc Zipompapompa

  Mc Zipompapompa JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2016
  Joined: Dec 3, 2015
  Messages: 300
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 80
  Kama alivyosema robot la matope katika kuchangia hoja hapo chini, nchi hii kuishitaki serikali ni sawa na Dodoma kuwa na waterfalls ghafla

  Kiongozi wa Chama ndiye rais(mkuu wa serikali), ndiye anaemteua IGP atakae kukamata, ndiye anaemteua mkuu wa majeshi ili ajihakikishie ulinzi anapokutawala, ndie anaemteua jaji mkuu na majaji ili wahakikishe huchomoki katika kesi utakayo fungua, ndiye anaemteua DPP ili aamue lipi liende mahakamani lipi lisiende, ndie anaemteua m/kiti wa tume ya uchaguzi ili amtangaze mara baada ya uchaguzi irrespective of the results ili akutawale (serikali), ndiye anaemteua msajili wa vyama ili a dictate chama kipi kinavunja sheria na aidha kukifuta au kukionya, na ndie huyo huyo aliyemteua huyo kiongozi wa taasisi yenye kusimamia hizo kodi ambazo indeed deep down in his heart he knows its the walala hoi who pay the price but why he should care! He is safe....... and further he knows all these madini, mt k'njaro, bahari, mbuga za wanyama, tax avoidance co. Tourist tax base, ICD establishment which is ulaji and the list goes on

  Sasa mkuu unataka kuishitaki hiyo serikali? ?????????? mimi, wewe, yule na wote wa kada yetu tutalipa tu na hatuna pakupigia kelele. Sisi hatukatai kulipa kodi lakini hizi nyingine mnatuumiza sana pls angalieni msitufanye hamnazo
   
 9. kluger

  kluger JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2016
  Joined: Jun 16, 2016
  Messages: 1,725
  Likes Received: 1,238
  Trophy Points: 280
  RIP Mch. Mtikila
   
 10. komba05

  komba05 JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2016
  Joined: Jan 8, 2016
  Messages: 368
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  Punguza hasira mkuu, nami nitakuunga mkono ktk hiyo kesi!
   
 11. komba05

  komba05 JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2016
  Joined: Jan 8, 2016
  Messages: 368
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  Well said! Poor my country!
   
 12. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2016
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,339
  Likes Received: 1,869
  Trophy Points: 280
  sijui tufanyaje...maana vijana ndo hivyo tena tukithubutu kuongea tunazimwa kama taa
   
 13. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2016
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,339
  Likes Received: 1,869
  Trophy Points: 280
  nipe mbinu mkuu tutumie njia gani au twende tukajifunze karate kwanza
   
 14. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2016
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,339
  Likes Received: 1,869
  Trophy Points: 280
  hatatokea mtu mwingine yeyote kama MTIKILA mwenyezi Mungu amuhifadhi mahala pema peponi
   
 15. Konda wa bodaboda

  Konda wa bodaboda JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2016
  Joined: Jul 18, 2014
  Messages: 8,076
  Likes Received: 3,227
  Trophy Points: 280
  Huo ndio ukweli wa mwisho.
   
 16. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2016
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,339
  Likes Received: 1,869
  Trophy Points: 280
  tutafanyaje sasa mzee mwenzangu au kuna haja ya kwenda mahakama za juu za kimataifa
   
 17. eddy_mhando

  eddy_mhando JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2016
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,339
  Likes Received: 1,869
  Trophy Points: 280
  dah hadi nimeogopa ila kwanini tunashindwa kuthubutu huku tukifiria kuwa wazee wetu wali pigwa sana mijeredi enzi za utawala wa kibepari
   
 18. chipolopolo 2

  chipolopolo 2 JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2016
  Joined: Nov 10, 2014
  Messages: 3,202
  Likes Received: 1,620
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja mkuuu
   
 19. komba05

  komba05 JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2016
  Joined: Jan 8, 2016
  Messages: 368
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  Haki ya mungu nitaihama Hii nchi!
   
 20. m

  mzee wa ngada JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2016
  Joined: Jul 28, 2015
  Messages: 616
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 60
  Kasome Katiba kwanza
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...