Babumzee
Member
- Feb 24, 2020
- 11
- 5
Nahitaji kueleweshwa ni vitu gani hasa natakiwa kuwa navyo ili niweze kumiliki blog yangu na mtu yupi ni sahihi wa kunifungulia hiyo blog?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikubwa uwe na vitendea kazi kama laptop pia inategemeana na blog ipi unafungua kama ni ya za habari au music hizi ni nyepesi kwani utacopy sehemu na kuhariri
Hata mm ninaweza cha muhimu ni kuwa muwazi nini unataka kiwe kwenye blog yako kisha nitakupa mapendekezo yangu uende kwenye free blog au paid blog