Msaada: Nahitaji kufungua blog

muvika online

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
385
500
Kikubwa uwe na vitendea kazi kama laptop pia inategemeana na blog ipi unafungua kama ni ya za habari au music hizi ni nyepesi kwani utacopy sehemu na kuhariri
 

BOB OS

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
3,320
2,000
Inategemea blog ya aina gani?,blog hata wewe mwenyewe unaweza kufungua kuna za bure kama blogspot,pia waweza tumia WordPress hii Ina themes nyingi na nzuri kwa customization ,inatokana na hitaji,,lako na budget yako ,,
1.za free zipo blogspot,WordPress,..
2.wordpress na nyingine cms,utahitaji hosting,domain name,,
3.karibu ukihitaji professional blog kwa bei nzuri au kama una swali lolote kuhusu blog karibu....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom