Msaada nahitaji king'amuzi Cha Azam kiwe full au decoder tu

Msaada nahitaji king'amuzi Cha Azam kiwe full au decoder tu

kj75

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
553
Reaction score
658
Habar,
Kama kichwa Cha habar kinavyosema Mimi nahitaji king'amuzi Cha Azam kiwe full au decoder tu nanunua Bei tutaongea Kama unacho usisite kunipm natanguliza shukran
 
Kipo hapa kinauzwa bei ya mwezi kwanza
133612524.jpg
 
Back
Top Bottom