DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,198
Im cyo kweli haifikiMtoto ni 50400 kwa mwaka mtu mzima ni 1M nakuendelea kama sikosei
HIF ndo nn mkuu .....NHIF stand for national heath insurance fund nadhani hiyo HIF ni kifupi Cha jina la mkweoHIF au NHIF
Ingia kwenye website yaoIm cyo kweli haifiki
Sikweli bima hizo inaazia 50400 kwawote sio watoto tu sasa utachagua mwenyewe uaze na kifurushi kipi na aina yatatizo ,ukiwa na mtoto mwenye shida yakutosha kiwango hicho hakikidhi ,labda kutibu kamasi na vipimo vya malaria ukishaingia kwenye kipimo kikubwa haisomiIm cyo kweli haifiki
This is for Kids what about adults ??Info zote zipo kwenye site yao.
Maelezo ya Bima ya Mtoto ππ½
Nenda kwenye website yao mkuu kuna form na maelezo yote.This is for Kids what about adults ??
Nenda kwenye website yao mkuu kuna form na maelezo yote.
Fika ofisini kwaoNahitaji Bima ya NHIF Mimi na watoto wangu wawili pamoja na Mama Mzazi.
Hiyo Bima iwe nation wide (nchi nzima)
Mimi sio mtumishi wa Umma Wala sekta binafsi nimejiajiri.
Wakuu Jambo la Pili nahiitaji ..Kupata mchanganuo wa gharama kwa mwaka Ahsante na Mchana mwema.
Muhaya original
Usijali ntaenda hapo PostaFika ofisini kwao
Mimi hiyo form mbona nimeitoa huko huko kwenye website yao leo hii mkuu baada ya kusoma hii thread yako.Ok Mkuu thank you sema website yao haifungi it about 2 days nafatilia kwa mtandao that y nimepost hapa π