properties
Member
- Jun 3, 2016
- 59
- 57
Nini sababu ya urethra infections na tiba yake ni nini? Maana my urethra is rough na tiba ya UTI nimepata lakini bado nahisi kama maumivu wakati wa kukojoa. Nikiwa sikojoi nasikia kamuwasho kidogo natamani kujikuna lakini siwezi.