Msaada,nafsi inanisuta

Yap naweza kukubaliana nawewe katika hili,ila hapo ndo malipo na udhaifu wangu na nimekiri mkuu,naomba basi uniambie sasa how to overcome
 
Kuwa na wanawake wengi sio sifa ni UMALAYA
wanaume wote ni malaya tu na hii ni urithi toka kwa ADAM ,ukiona mwanaume anakwambia yeye sio malaya jua huyo ni mpiga nyeto za sabuni au petrol.
 
Acha utoto dogo!...hapo unapendwa unataka nini tena?...tuliza mpira wewe.
 
Unavyoendelea kuwa nae, ndivyo unavyozidi kumpotezea muda na kuweka matarajio yake kwako. Hvyo km kumuacha, muda ndio sasa. Hbr za unawafutaga machoz kwa sasa ziweke pemben zitakupeleka uckojipangia
 
ivi MTU unashindwaje kuvunja mahusianoo? [emoji15] [emoji15] [emoji15] Kaa kimya kua inactive jifanye upo busy na kuna issue inakuchanganya uone kama hatachoka. Mm ata mtu anipendeje atajitahid call, SMS, Mimi kimyaaaa anajisepea mwenyeweeeee
 
sasa ni bora umwambie ukweli alie umfute machozi aendelee na maisha yake au uzidi kumdanganya na kumumiza zaidi...
 
Eeeh biblia yangu kuna page zinamiss nadhani, mwanamke wa kwanza wa Adam alikua nani? Mid kwangu hiyo page haipo
 
Isikilize nafsi yako kwanza, usiwe na mahusiano na mtu kwa kumhurumia. Itakuumiza siku moja
 
Kama humpendi mueleze ukweli,achana na kumuonea huruma ambayo badae itageuka kua shimo kwake
 
Mkuu kaa ukijua kuwa Ukweli ni Uaminifu, kwa hiyo tafta mda mzuri, sehemu sahihi na mkiwa mazingira sahihi na tulivu na usimame kiume kumweleza ukweli kwa upole na kwa kumaanisha kuwa hauko tayari kuonana nae na uhusiano wako nae haukuwa na lengo la kufikia ktk mahusiano.

Ukweli lazima ubaki upande wake na wala kulia kwake hakuufanyi ukweli uwe Uongo, be a man and be real.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…