Msaada: Nafanya Mapenzi lakini sifiki kileleni

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,645
Wakuu nimekuwa nafanya mapenzi lakini sifiki kileleni. Hata kama nikeshe usiku kucha lakini simwagi.
Nina wake wawili sasa huyu bi mdogo niliyemwoa mwaka jana analalamika sana. Anataka mtoto lakini mbegu za kumbebesha mimba ndio hazipatikani.
Naomba ushauri wa kitabibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakakufika kileleni kama piere ubaki kuwa juu juu kabisa

Anza kula matunda kwa wingi hasa tikiti maji na natunda mengine, ule vizuri hakika utarudi kama zamani
 
Kula vizuri, fanya mazoezi,pumzisha mwili wako by ferouz
Professor Jay....kula vizuri, fanya mazoezi, pumzisha mwili wako. Ukizingatia haya utaishi kwa matumaini.
By the way unayo nafasi hebu jiamini.

Mola aliyeniumba sasa nishamkosea
Hata ardhi na mbingu naona zinanizomea
Malaika wa adhabu kwa hamu wananingojea
Koh koh koh koh
Nikifika huko nani atanipokeaaaaaa
Aaaaaaaaaaaaa

Sent using my Nokia Torch
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom