ema mponzi
Member
- Sep 21, 2018
- 5
- 1
Nasikia vyuo vya nacte kwa waliiomba diploma ya afya vinafunguliwa kuanzia tarehe 15 mwezi wa kumi sasa ndugu yangu mmoja kaomba diploma ya clinical medicine lakni mpka leo hajapata majibu msaada wana jf kama kuna aliyepata tayari matokeo tusaidiane link plz wana jamii forum