Msaada matokeo NACTE

Cainan

JF-Expert Member
Jun 14, 2017
414
470
Habarini za usiku wana jf
Hivi matokeo ya nacte kwa vyuo vya serikali mbona hayatolewa hasa kwa NTA level 4 ...mpaka Sasa Nimepata kusikia ni baadhi ya vyuo vya private ndo wamepata

Au kuna utaratibu gani wa kupata haya matokeo hasa kwa vyuo vya serikali ..au kuna wengine wa vyuo vya serikali ambao wamekwisha pata ??

Msaada wenu Wana ndugu
 
Mtafute accademic Officer wako wachuo umuulize then atakupa maelekezo yote
 
Waliokuwa wanaingia mwaka wa tatu, wameambiwa wasubiri nyumbani hadi NACTE itakapotoa maelekezo, Haijulikani kuna nini (au wamefeli sana hivyo kufanyike adjustments au wamefaulu sana hivyo hawafai kuendelea)
 
Mitihani yao ilivuja sana na wizara wamejua ...ko waombe mungu sana usiku kwa mchana
 
Back
Top Bottom