Kwahiyo ukifeli form six ndio unaomba diploma au unarudi kutumia cheti cha form four.Kumbe uli fail
Unatumia cheti cha form fourKwahiyo ukifeli form six ndio unaomba diploma au unarudi kutumia cheti cha form four.
mafisadi hayana rangi
Ukiacha kujaza inagoma kuendelea. Tatizo lingine kwangu ni upande wa kuchagua field of study. Una-choose, lakini kwenye priority ipo faint....ingoma kuendelea, msaadaMuwe waangalifu inategemea unaomba diploma gani kuna kama za afya naona wao hutumia matokeo ya F4. Kuna diploma nyingine - F6 ndio direct entry lakini equivalent qualifications ni Certificate ya F4 + Certificate ya hiyo nyanja (mfano ICT, Laws etc).
Kwa hiyo kama ni afya na vyuo vya umma usishangae kusema matokeo hayako kwenye data base kwani hawayahitaji (labda kama kuna mabadiliko kwani serikali yetu ni mwendo mdundo).
Ata mm iliwah kuntokea nilichofanya niliacha kuapply kwa kutumia pc nkachukua sim ikakubal jarb kufanya hivyoUkiacha kujaza inagoma kuendelea. Tatizo lingine kwangu ni upande wa kuchagua field of study. Una-choose, lakini kwenye priority ipo faint....ingoma kuendelea, msaada
Muwe waangalifu inategemea unaomba diploma gani kuna kama za afya naona wao hutumia matokeo ya F4. Kuna diploma nyingine - F6 ndio direct entry lakini equivalent qualifications ni Certificate ya F4 + Certificate ya hiyo nyanja (mfano ICT, Laws etc).
Kwa hiyo kama ni afya na vyuo vya umma usishangae kusema matokeo hayako kwenye data base kwani hawayahitaji (labda kama kuna mabadiliko kwani serikali yetu ni mwendo mdundo).