Msaada; NACTE grading system.

Msaada; NACTE grading system.

Puma yetu

Senior Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
111
Reaction score
126
Huyu mtu kamaliza mtihani wake wa diploma in dental thrapy NTA level 6. sasa unampa GPA ya ngapi maana kaaply na smekosa vyuo vyote.Hawa NACTE wanapangaje?

73-
60-
60-
57-
58-
60-

Sasa huyu dogo ana GPA ya ngapi kwa mujibu wa NACTE?
 
GPA bila credits una-calculate vipi ?, Ebu nitoeni tongotongo kwa hili aiseee wana jamvi.
 
hv grade za afya ziko tofaut na grd za dip zingine? mfn uhasibu, kilimo n.k?
 
Mbona umeweka matokeo ya semester moja?? Overall results ya 2 years..yanasemaje?? Je alisoma chuo kinachotambuliwa na nacte?? I mean kimesajiliwa na nacte?? Na aliomba chuo gani? Na aliomba kozi ipi?
 
Pia ujue kama uli apply vibaya kwa kuunganisha NTA level 5 na 6 sehem moja na ukaweka sehem waliyohitaj level 6 tu, huwa wanajumlisha, wenzangu walifanya hivyo but wakashushiw GPA but walivyorekibisha katk 3round wamepata. I mean sehem ya level 6 hakikisha imekaa yenyewe. Kma ulifanya hivyo na GPA yako ni kubwa na imeshushwa, nenda nacte utaandika barua na watakurekebishia.
 
Mbona umeweka matokeo ya semester moja?? Overall results ya 2 years..yanasemaje?? Je alisoma chuo kinachotambuliwa na nacte?? I mean kimesajiliwa na nacte?? Na aliomba chuo gani? Na aliomba kozi ipi?
Hapana mkuu, huyu kasomea chuo cha serikali kilichosajiliwa. Haya ni matokeo ya mudules zake za mwisho.Ila kuna mwenzake matokeo yanafanana amechaguliwa health system management Mzumbe.
 
Pia ujue kama uli apply vibaya kwa kuunganisha NTA level 5 na 6 sehem moja na ukaweka sehem waliyohitaj level 6 tu, huwa wanajumlisha, wenzangu walifanya hivyo but wakashushiw GPA but walivyorekibisha katk 3round wamepata. I mean sehem ya level 6 hakikisha imekaa yenyewe
Nafikiri alifuata utaratibu, anachotaka kujua kwa alama hizo atakua GPA ya ngapi maana wenzake wamepata chuo.
 
GPA bila credits una-calculate vipi ?, Ebu nitoeni tongotongo kwa hili aiseee wana jamvi.
Ndio kwa marks hizo unatoa credits kivipi? Maana naona ni kama kila level na utaratibu wake.
 
Huyu mtu kamaliza mtihani wake wa diploma in dental thrapy NTA level 6. sasa unampa GPA ya ngapi maana kaaply na smekosa vyuo vyote.Hawa NACTE wanapangaje?

73-
60-
60-
57-
58-
60-

Sasa huyu dogo ana GPA ya ngapi kwa mujibu wa NACTE?
Hatuwezi jua gpa yke kwa hayo matokeo ya semester moja na pia uwa kila somo lina credit na point zke ambazo zinatoa gpa ya semster husika nazo hazipo

Total gpa ya mwanachuo ina tafutwa kwa kujumlisha gpa ya semster one + semster two then ina gwanaywa kwa mbili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom