Wa kupuuzwa
Member
- Oct 2, 2020
- 94
- 63
Habari za wakati huu,
Wakati tukisubiri selection za vyuo vikuu kwa mwaka wa masomo, Nina ambition ya kusoma kozi mbili.
Political science and public administration pamoja na bachelor in laws, UDSM, mkiwa kama wajuzi mnanishauri ipi kati ya hizo?