Kabaizer
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 504
- 64
nimesoma thread nyingi.lakini.kusema kweli sielewi namna ya kuroot cm yangu aina ya huawei y300-0100 inayotumia lain.zote,naomba chondechonde mkuu nielekeze hatua kwa hatua maana mi nina elim ndogo hivyo kile kingereza cha kwenye thread mbalimbali kimenishinda,msaada tafadhari ndugu zangu natanguliza shukrani zangu za dhati!