Msaada na ushauri kwa huyu dogo nimpeleke chuo gani kwa alama hizi?

Realbest

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
809
293
Nina dogo hapa amemaliza 4m4 mwaka Jana na kupata division 4 ya point 26
Matokeo yake ni kama ifwatavyo

History C
Kiswahili C
ENGLISH C
CIVICS D
BIOS D
GEO D
MATH F

Je naweza mpeleka chuo gani ambacho angalau anaweza ikawa na uwanda Mpana angalau wa ajira?

Kiukweli nimepiga mahesabu upande wa Advance nikupoteza muda tu!

Je nursing ya mwaka moja Ile ya one year course inaweza mfaa kwa matokeo haya?

Nawasilisha
 
Land
Logistics
B/Admnistration
Socialogy
 
Advance kupoteza mda kivipi.. ?
Kama anajiamini aende akapige 6 akimaliza anaweza pata mkopo akachukuwa Digrii yake
Ushauri mzuri,kwa matokeo yake anaweza kufanya vizuri akienda advanced.Kwanza kusoma chuo ni gharama kubwa ukilinganisha na kusoma advanced, pili chuo ni miaka mitatu,advanced ni miaka miwili.Akifaulu kidato cha sita anakwenda moja kwa moja university bila kizungumkuti cha kupata award verification number (AVN) ya NACTE.Hiyo kitu tuulize sisi tunao hangaika nayo,tukueleze.
 
Nina dogo hapa amemaliza 4m4 mwaka Jana na kupata division 4 ya point 26
Matokeo yake ni kama ifwatavyo

History C
Kiswahili C
ENGLISH C
CIVICS D
BIOS D
GEO D
MATH F

Je naweza mpeleka chuo gani ambacho angalau anaweza ikawa na uwanda Mpana angalau wa ajira?

Kiukweli nimepiga mahesabu upande wa Advance nikupoteza muda tu!

Je nursing ya mwaka moja Ile ya one year course inaweza mfaa kwa matokeo haya?

Nawasilisha
Ngoja waje mkuu watushauri.
Mimi mwenyewe dogo wangu amepata matokeo yanayofanana na hayo nikawa nawaza chuo gani cha kumpeleka.
Maana tatizo lake masomo ya sayansi hayajabalance kwa sababu kwa upande wa sayansi kuna vyuo vingi vizuri na kozi za kueleweka ila shida iko upande wa arts huku ndio tatizo.
Na kumpeleka form 5 na 6 kinachokera ni yale masuala ya kusoma soma tuition ndio huwa yanaboa na bado anaweza asitoboe vilevile akarudi tena kusoma Diploma.
Yaani inakuwa ni kama bahati nasibu.
Mimi napendelea dogo wangu asome Diploma ya fani fulani ili aingie mapema kwenye mchakato wa kugombania ajira.
Kwa hiyo kazi kwako mkuu
 
Mkuu tushauriane tufanyeje
 
Ngoja waje wakusaidie walioko sokoni,mimi kwa ushauri wangu naona uangalie uwezo wake ukoje,je akienda advance atamudu?na je yeye mwenyewe ana moto wa kwenda advance?kama anajiona atakaza misuli mpeleke.Jaribu pia kushare naye hali halisi ikoje iwapo utapata mawazo kutoka kwa watu tofauti,kwani yawezekana akatamani kitu kwa upeo wake mdogo akaja kujuta baadaye...
 
Mimi ndugu yangu ana
kisawahili D
English C
civcis D
geography C
Biology D
b/math F
history F.

hapa nimshauri aende chuo gani?

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Ushauri mzuri,kwa matokeo yake anaweza kufanya vizuri akienda advanced.Kwanza kusoma chuo ni gharama kubwa ukilinganisha na kusoma advanced, pili chuo ni miaka mitatu,advanced ni miaka miwili.Akifaulu kidato cha sita anakwenda moja kwa moja university bila kizungumkuti cha kupata award verification number (AVN) ya NACTE.Hiyo kitu tuulize sisi tunao hangaika nayo,tukueleze.
Daaah, kweli kabisa mkuu shughuli ya kupata AVN sio kitoto.. Ila six hamnaga hzo ni mwendo wa kupachika namba tu
 
Nimeanalia sifazao tatizo dogo hakusoma masomo ya sayansi
Sidhani wapigie usikie majibu yao
Screenshot_20200809-094937.png
 
kwa matokeo hayo, nakushauri mpeleke dogo advance akasome HKL nafikiri ataimudu, kumpeleka chuo sasa hivi ni kupoteza hela bure, kwa comb hiyo akikaza inampeleka chuo na mkopo asilimia za kutosha anapata.
Nina dogo hapa amemaliza 4m4 mwaka Jana na kupata division 4 ya point 26
Matokeo yake ni kama ifwatavyo

History C
Kiswahili C
ENGLISH C
CIVICS D
BIOS D
GEO D
MATH F

Je naweza mpeleka chuo gani ambacho angalau anaweza ikawa na uwanda Mpana angalau wa ajira?

Kiukweli nimepiga mahesabu upande wa Advance nikupoteza muda tu!

Je nursing ya mwaka moja Ile ya one year course inaweza mfaa kwa matokeo haya?

Nawasilisha
 
Mpeleke veta akasomee ufundi wa AC za magari na Majumbani au Umeme wa Magari hatajuta.
 
Back
Top Bottom