Msaada na ushauri kwa huyu dogo nimpeleke chuo gani kwa alama hizi?

kwa matokeo hayo, nakushauri mpeleke dogo advance akasome HKL nafikiri ataimudu, kumpeleka chuo sasa hivi ni kupoteza hela bure, kwa comb hiyo akikaza inampeleka chuo na mkopo asilimia za kutosha anapata.
Alright, maana course za art kwa cheti na diploma ni chenga tu. Kuzuri ni science tu maana angekuwa na science angekwenda nursing au C.medicine ni kozi nzuri zenye market kuliko hzo course za art sijui maendekeo ya jamii..!! Ni afadhari akipige hzo kozi kwa degree huku bodi ikimlipia ada
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri
 
kwa matokeo hayo, nakushauri mpeleke dogo advance akasome HKL nafikiri ataimudu, kumpeleka chuo sasa hivi ni kupoteza hela bure, kwa comb hiyo akikaza inampeleka chuo na mkopo asilimia za kutosha anapata.
Ahsante mkuu
 
Ushauri mzuri,kwa matokeo yake anaweza kufanya vizuri akienda advanced.Kwanza kusoma chuo ni gharama kubwa ukilinganisha na kusoma advanced, pili chuo ni miaka mitatu,advanced ni miaka miwili.Akifaulu kidato cha sita anakwenda moja kwa moja university bila kizungumkuti cha kupata award verification number (AVN) ya NACTE.Hiyo kitu tuulize sisi tunao hangaika nayo,tukueleze.
Kwani shule za private advance ada ni bei gani?
 
Back
Top Bottom