Msaada na Sheria ya kusajiri Mitandao

wahid1

JF-Expert Member
Jun 26, 2014
225
279
Heshima kwenu Wadau wote wa Mtandao huu wa Jamiiforum popote mlipo. Kwa muda mrefu nilikuwa nikitengeneza Website itakayohusika na masuala ya Engineering ambayo walengwa hasa ni Wahandisi, Wahandisi Wanafunzi na wote wenye interest na Uhandisi. Website hiyo nimetengeneza kwa kutumia WordPress katika Local Server. Na nimepanga kupata hosting nje ya nchi hasa Marekani. Swali langu ni kwamba sina uelewa na hii Sheria ya TCRA. Je Website kama hii, nalazimika kuisajiri Tanzania kama TCRA wanavyotaka??? Na Je Sheria ya Mitandao inahusu pia aina hii ya Website...au ni website za TV na Magazeti online tu?? Naomba kuwasilisha.
 
Mkuu umeshaambiwa website hiyo haijarishi itakuwa inadeal na inshu gani nenda kasajiri wasije wakakushafii dauda .
 
Nashukuru kwa ushauri, na je inawezekana kupata Hosting nje ya nchi na ukasajiri TCRA??? Au lazima hosting iwe TZ??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom