Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,611
Jamani habari zenu,
Nina simu ya samsung kama nilivyiotaja hapo juu, simu hii ina shida mbili, kwanza Play Store hai load kabisa kila mara inasema hakuna internet connection wakati mitandao mingine kama yahoo, google nk. inafanya kazi.
Pia hata jamiiForums inakataa ku load, What Could This Be.
Thanks.
Cc. Young Master

Last edited by a moderator: