Msaada na plasma TV inaonesha chenga

Msaada na plasma TV inaonesha chenga

eliufive

Member
Joined
Jan 1, 2010
Posts
28
Reaction score
1
Msaada na TV yangu, inaonyesha chenga chenga imetumika kama miaka miwilli hivi inasemekana tatizo hili hutokeaga kwenye plasma tv's peke yake. Naomba mtu yoyote anaye elewa hii tatizo atoe ushauri.. nime upload video fupi tuu kuonyesha tatizo lake zaidi. Kama unamjua fundi mzuri wa plasma naomba no. yake

Nahisi ni tatizo ya capacitator... zinauzwaga wapi?




samsung plasma tv video noise - YouTube
 
Back
Top Bottom