Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyosema hapo juu nahitaji msaada wenu na paypal kwani nimejaribu kujiunga na hiyo Internet Banking na Nikatumiwa confirmation password n.k
Lakini shida inakuja pale kwenye kuverify card yangu Paypal maana nikijaza details zote inaniambia "Unable to verify this card,your paypal street address must match your card billing address".
Nashindwa kuendelea maana nimewapigia CRDB wenyewe wananiambia kuna form za paypal special za kujaza ila mie nikaona bora niulize wadau kwanza maana nyie mna uzoefu,,,Naomba mnisaidie sana maana nna shida sana na hiyo service,,,Natanguliza ahsante zangu.