MSAADA: my facebook account is hacked

MSAADA: my facebook account is hacked

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
wakuu naomben msaada nahc account yangu ya faceboo watu wamei hack kila nikiifungua nikiweka password inaniambia ni old password nikienda kwenye email ku rest p.word na email nikiingza p.word inasema ni old pasword na nambar niliyotengezea email cnayo tena yaan cjui nifanye nn msaada tafadhali
 
Wewe umesahau pwd angalia kwenye hayo maelezo lini ilibadirishwa.
 
hapana cjasahau password inaonesha kuna mtu ameingia aaf kaenda ku change password za facebook alaf kaenda ku change p.word za email ya gmail yaan nikitia naambiwa ni old password wakat me cjabadilisha k2
 
ni kweli kuna mtu alikuwa anajua password yako na ndio akabadilisha, sijui namna ya kukusaidia tusubiri wataalam waje hapa
 
hapana cjasahau password inaonesha kuna mtu ameingia aaf kaenda ku change password za facebook alaf kaenda ku change p.word za email ya gmail yaan nikitia naambiwa ni old password wakat me cjabadilisha k2

Mambo ya kushare password hayo hapo mtu alikuwa anajua password ya email yako nadhani.. au angalia usije ukawa unalog in huku upo kwenye caps ltrs
 
Wataalifu watu wa Facebook kwa e mail. Watakutumia maelezo ya nini cha kufanya kwenye e mail yako. Ila naona ajabu umesema huyo aliyeingia amebadili mpaka e mail password!?. Hapo ni ajabu kidogo huyo mtu kujua passwords zako mbili tofauti!(wife,hubby,gf,bf or?). Lakini pamoja na yote Facebook watakuuliza maswali personal kama ulivyojaza form yao mwanzoni na wakiridhika watatatua tatizo lako.Imeshawahi kutokea hiyo na mhusika alitatuliwa tatizo lake Pole.
 
Back
Top Bottom