Msaada: Jinsi ya kufuta Old Facebook Account

NutrientAgar

Member
Jun 24, 2017
31
22
Natumaini mko poa wakuu,

Naombeni msaada kwa anaefahamu namna ya kuifuta account ya facebook ya zamani ambayo nilishapoteza password yake na siitumii tena kwa zaidi ya miaka 4 sasa.

Tatizo ni kwamba watu wakinisearch wananipata kwenye old na new name nataka niifunge old wanipate kwenye new tu.

Ahsanteni naomba kuwasilisha.
 
Ukienda chini kwenye account settings utakuta deactivate account ila sio kua inafutwa, wanakua kama wameipause tu, ukirudia kusign in inaonekana,
 
kama ulishapoteza password haiwezekan labda ingekuwa unakumbuka password baada ya ku log in kuna option ya ku delete account ila kama una access nayo cdhan kama inawezekana
 
Natumaini mko poa wakuu,

Naombeni msaada kwa anaefahamu namna ya kuifuta account ya facebook ya zamani ambayo nilishapoteza password yake na siitumii tena kwa zaidi ya miaka 4 sasa.

Tatizo ni kwamba watu wakinisearch wananipata kwenye old na new name nataka niifunge old wanipate kwenye new tu.

Ahsanteni naomba kuwasilisha.
Inawezekana tafuta nywila tukuelekeze mkuu
 
Mtu kwenye maelezo yake alishasema amepoteza password bado mnamuuliza una password!
Si unaitafuta tuhhhh,
Sndika jina ulilo sajilia, unabuni passcode itakuletea wrong code una clik forgot password itakuletea jaza namba ya simu au mail uliyo sajilia kipindi unafungua hyo acount , then baada ya dakika tano utaletewa password kwenye laini yako au email.

Mbona simple tuhh.
 
kiukweli bila kuwa na password nothing u can do jitahid tu na zile option zakupata new password ukifanikiwa unadeactivate account na c kweli kwamba hawafuti account wanafuta ila c kwa muda wako ni kwa muda wao
 
Ukienda chini kwenye account settings utakuta deactivate account ila sio kua inafutwa, wanakua kama wameipause tu, ukirudia kusign in inaonekana,
ipo option ya ku delete account. njia rahisi type kwenye Google 'delete facebook account', itakuja. baada ya ku delete account, facebook wataifuta kabisa account yako baada ya siku 14. ili account yako ifutwe kabisa baada ya siku 14, unatakiwa usi login ndani ya siku 14 baada ya kuomba ku delete.
 
Ukienda chini kwenye account settings utakuta deactivate account ila sio kua inafutwa, wanakua kama wameipause tu, ukirudia kusign in inaonekana,
Huwezi ku deactivate mpaka uweke password....na mleta mada password hana.
 
Kupoteza Password ni uzembe...
Na wengi wanaosahau/poteza Password, watazame vizuri na utagundua ni watu wa namna gani.....
 
Back
Top Bottom