Exclusive Offer Ya Apple Computer All In One

Exclusive Offer Ya Apple Computer All In One

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,756
Reaction score
2,662
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina ya apple ,all in one ,zenye sifa zifuatazo;
Screen size 20 inch
Processor 2.4ghz Duo core
Ram 2gb, zote zina Nvidia Graphics
Wth Hdd 160gb for Tsh.395,000 (Laki tatu tisini na tano elfu tu)
All have Excellent condition as new

computer ina warranty ya miezi miwili.
Ofa: Kila computer moja katika hizi chache ina program saba BURE kama zifuatazo:
1.Miongozo ya kilimo biashara kwa mazao yote
2.Jinsi ya kujenga nyumba kwa gharama nafuu
3.kutengeneza mkaa mbadala bila kukata miti
4.kiwanda cha nyumbani( Bidhaa 15 za kutengeneza ukiwa nyumbani kama sabuni zote,mshumaa,chaki n.k)
5.Ufugaji wa kuku asili na kuku wa kisasa
6.Ufugaji samaki kitaalamu na kibiashara
7.Mchanganuo wa biashara na memorandum and article of association.

Ofa hii mwisho ni tarehe 05 march 2019

Tupo Kariakoo,mkabala na jengo la China Plaza.Pia unaletewa na tunatuma mikoani.Piga simu:0713-039875
 

Attachments

  • imac 1.PNG
    imac 1.PNG
    126.3 KB · Views: 42
  • imac 2.PNG
    imac 2.PNG
    157.7 KB · Views: 43

Similar Discussions

Back
Top Bottom