Msaada: Mwenye uzoefu wa biashara ya nafaka anahitajika

desiigner

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
520
229
Husika na kichwa cha mada apo juu,
Mtu yeyote anafanya biashara hiyo ya nafaka (mahindi, mchele) ndani ya Tanzania anahitajika haraka. Kuna deal imetokea napotesema deal namaanisha pesa so njoo PM tufanye biashara.


Karibu.
 
Back
Top Bottom