Msaada!! Mwenye uwezo wa ku-buck up files from HDD 1TB

Mimtamu

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
368
105
Habari wandugu na wataalam wa IT. Shida yangu natafuta msaada wa kurecover files kwenye Harddisk yangu yenye ukubwa wa 1TB.
Mafile muhimu zaidi ni ya Video yenye ukubwa wa 10gb - 32gb. Mwenye uwezo huo anicheki PM please!

Au mwenye kuwafahamu wenye ujuzi huu anisaidie mawasiliano
 
Habari wandugu na wataalam wa IT. Shida yangu natafuta msaada wa kurecover files kwenye Harddisk yangu yenye ukubwa wa 1TB. Mafile muhimu zaidi ni ya Video yenye ukubwa wa 10gb - 32gb. Mwenye uwezo huo anicheki PM please!Au mwenye kuwafahamu wenye ujuzi huu anisaidie mawasiliano
Hata mimi nimepta shida hiyo 1T ya Toshiba imenigomea baada ya kutumia tu mwezi mmoja haifunguki wala haitaki kuformat nimejaribu options nilizoelekezwa na jukwaa hili bila mafanikio
 
Back
Top Bottom