Msaada: Mwenye Ufahamu St Josepd Dar es Salaam

Msaada: Mwenye Ufahamu St Josepd Dar es Salaam

sila soti

Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
9
Reaction score
1
Habar wana jamvi nahitahi msaada kuhusu st Joseph university iliopo Dar
 
Habar wana jamvi nahitahi msaada kuhusu st Joseph university iliopo Dar


Ndugu Sila Soti

St. Joseph University
Ina colleges nyingi,dar zipo college za Engineering na Education zipo Kibamba,na kuna college mpya ya medicine Boko.

Kwa habari ya ufundishaji,wapo vzuri Lecturers wanafundisha vzuri tu tho sio wote wapo "competent" ila wanafundisha sanaaaaaaaaaa

Attendance ni mhimu sanaaaaaa
Na kuwahi lecture ni mhimu mnoooo

TATIZO

Chuo kina ada kubwa na mkopo mnaopewa hautoshi kulipia gharama za ada etc,Chuo hakina hostel so mnapanga kitaa na kodi ni kubwa sana kama unategemea boom utaish Kwa shida sana

Cha AJABU
Chuon apo unakuwa "Detained" (Kusimamishwa masomo Kwa mwaka) Kwa kukosa ada hata kama umefaulu. Nimeshuhudia wadogo zetu wakipitia hayo mateso,watoto wa masikini ikaniuma sana,

Nilikutana na baadhi ya hao vjana,wakike na kiume wanalia,wanasema serikali iliahid 100% mkopo Kwa masomo ya sayansi na education ila hyo ahad hatujaiona ila cha ajabu,TCU ndo ilitupangia vyuo,walituleta hapa(St. Joseph) wakijua kuna ada kubwa ila hawakutuhakkshia mkopo

Niliumia sana.


Wanafunzi wanaosoma uhandisi kuachishwa masomo kisa ada na Kwa taifa kama letu tunalohitaj wahandisi wengi ni TATIZO


OMBI
Kwa walio na moyo wa kufinance vjana hawa Wa kitanzania anakaribishwa ntamkutanisha na hao wahitaji.

Naamini umepata overview walau Kwa ufupi.
Kama una Ada na una ufadhili mzuri nenda usome .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom