Msaada: Mwenye uelewa kuhusu fao la uzazi PSPF baada ya mifuko kuunganishwa

Fao la uzazi bado lipo. Lakini limesimamishwa kutolewa kwa wakati huu wa Transition ya kuunganisha mifuko.

Lini litaanza kutolewa? utanisamehe Kalimanzilajuma maana sifahamu
 
Sasa kwa wanaojifungua sasa inamaana haki yao ndo basi tena.
Fao la uzazi bado lipo. Lakini limesimamishwa kutolewa kwa wakati huu wa Transition ya kuunganisha mifuko.

Lini litaanza kutolewa? utanisamehe Kalimanzilajuma maana sifahamu
 
Chonde chonde wasitufutie tu bima zetu za afya kwasie wa Nssf
 
Back
Top Bottom