Msema yote
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 448
- 301
Wakuu poleni na shughuli za kutwa, nimatumini mnaafya njema na kwa wale wachache ambao hawana ahueni nahakika mungu atakuwa nanyi katka maradhi na mtapona mwendelee na shughuli kama kawaida,
Wakuu nia ya kuleta huu uzi nilikuwa ninaombi moja tu kuwa mwenye key za LUXONIX PURITY V1.2.1 anisaidie pliz, unaweza kuni PM.
Natumaini nitapata msaada wakuu, nawasilisha.
Wakuu nia ya kuleta huu uzi nilikuwa ninaombi moja tu kuwa mwenye key za LUXONIX PURITY V1.2.1 anisaidie pliz, unaweza kuni PM.
Natumaini nitapata msaada wakuu, nawasilisha.