Msaada: Mwenye namba na picha ya dada wa Airtel

Msaada: Mwenye namba na picha ya dada wa Airtel

Amanijua

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
1,776
Reaction score
1,636
Wakuu,

Kuna huyu Dada wa Airtel ambaye anajibu watu pale unapopiga namba ya Airtel na haipo hewani au haipatikani, napenda sana kusikia anavyoongea, ana slang za kufa mtu ukijumlisha na sauti basi najikuta napenda kusikiliza na kila nikipiga simu ya Airtel nijibiwe na yeye tu.

Na kipindi cha nyuma hakua yeye maana sauti yake imeanza kusikika hivi karibuni na jua hapa kuna watu wa Airtel watanisaidia kupata namba yake ya simu."The no,u are callin is no' reachable, enjoy free internet.
 
Hahahahaaa umependa thauti tuuu....
Namba yake naweza kukutafutia ila naiuzaa
 
Eti sumbai na wew ukinipigiaga unapenda sauti ya yule mdada?
Itakua kweli maana nisipopatikana hunigombezagi kabisa....
 
Last edited by a moderator:
Eti sumbai na wew ukinipigiaga unapenda sauti ya yule mdada?
Itakua kweli maana nisipopatikana hunigombezagi kabisa....
cute b .. ur sound is absolutly more ghuuuuud than that of airtel..lad...
Naipenda saaaaana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom