Msaada: Mwenye material au notes za professional ethics and security

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,580
Mwenye notice au material yoyote kuhusu some tajwa apo juu naomba anisaidie kwa level yoyote iwe bachelor au diploma kwa wale wanaosoma mambo ya Information technology.

Unaweza kunitumia kupitia tajirimsomi@gmail.com au unaweza kunichek pm tukazungumza
 
professional ethics zipo nyingi kutegemeana na taaluma unayochukua... sasa we unasomea kitu gani tusije kukurushia ya udaktari hapa..!
 
Back
Top Bottom