msaada-Mwenye knowledge kuhusu Psychometric CPS tests.

Psychometric test deals with testing your ability in different angles.There are a number of questions from different angles of life and you attempt all.
They can gv you 600 questins and ask you to attempt all within 2 or 3 hrs.Its abt testing your IQ,speed,management,computation etc.Other orgs they invite interviewee for Pyschometric as well,just to test the candidate they kuajiri.
Kama sijatosheleza kiu yako waweza uliza tena.
 
Umemjibu vizuri sana, sitasahau hii test ilinitoaga jasho somewhere, yaani maswali mengi muda mfupi mno,
 
wakati nimemaliza shule nilienda kwa kampuni moja gas hao wazungu walinipiga hii kitu ya Psychometric test! niliona manyotanyota tu! mpaka nikawauliza kwanini wanitendea hivyo jamani ! wakaniambia hiyo ndio system yao ya kumpima mtu aliyetoka chuo alafu ana experience
 
Psychometric test deals with testing your ability in different angles.There are a number of questions from different angles of life and you attempt all.
They can gv you 600 questins and ask you to attempt all within 2 or 3 hrs.Its abt testing your IQ,speed,management,computation etc.Other orgs they invite interviewee for Pyschometric as well,just to test the candidate they kuajiri.
Kama sijatosheleza kiu yako waweza uliza tena.

Ninaweza kupata sehemu ya kufanya hiyo test? Kuna job requirement moja lazima itumwe na sijajua wapi inafanyika.
 
Sijajua kwa hapa Tz nani anatoa hiyo huduma lkn yangu nilifanya na kampuni moja ya nairobi inaitwa career connections inahusika na HR and Training business activities.Walinipatia website wakanipa na credentials za kuingia kwenye hiyo website na kuanza kufanya maswali online(multiple choice questions).Ushauri wangu kwanza jaribu kucheki na kampuni za HR hapa mjini kama Professonal approach,empower,Iris etc uwaulizie kama wana hiyo Test(hope wanatakuwa nayo).Kama hawana uwasiliane na jamaa wa career connections.
Vitu vya kuzingatia wakati wa test ni kuwa na reliable internet connections ambayo inaendana na reliable power(ukiweza ukaifanyie TANESCO MAKAO MAKUU nadhani wao huwa hawakatikiwi na umeme"JOKE") na mazingira tulivu.
 
Back
Top Bottom