X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,778
- 14,987
asante ndugu...ila mimi ninachotafuta ni ajira tu...kama unayo connection ebu niunganishe...ilo la kujichunga hata hapa bongo nipo nalo makini sanaKila la kheri sheikh. Chunga sana mazoea na wake za waarabu. Jiepushe usiweke mazoea hata kidogo. Maana huwa wanaoenda mikuyenge ya afrika. Tafadhwari kaa nao mbali.
mtaa gani nduguKuna jamaa wako pale posta mpya watoto wa mishen town hata ukitaka kwenye Kingston fasta tu. Tatizo nimepoteza no. Zao, mmoja wao ni Ras
Nina ndugu yangu alikuwa anaunganisha watu kwenda huko uarabuni kufanya hizi kazi.asante ndugu...ila mimi ninachotafuta ni ajira tu...kama unayo connection ebu niunganishe...ilo la kujichunga hata hapa bongo nipo nalo makini sana
Usimkatishe mwenzako tamaa, mwache ajaribu kwani kila kazi ina mazuri na challenges zake.Nina ndugu yangu alikuwa anaunganisha watu kwenda huko uarabuni kufanya hizi kazi.
Ila ni kazi za hatari kwasababu waarabu wengi ni watu wenye roho mbaya sana. Na kazi nyingi kwa wanaume huko uarabuni zinafanywa na wahindi, pakistanis etc
Sasa unaweza usibaguliwe na mwarabu lakini ukabaguliwa na wahindi.
Utaratibu wa kazi huko ni kama wa kampuni za ulinzi au usafi zinavyofanya kazi hapa kwetu
Maana yake kuna makampuni ndio yanawachukua, then ndio yanawakodisha kwa maboss.
Challenge nyingine kubwa ni ukiajiriwa na kampuni ambayo wao wanachoangalia ni pesa. Wakishakupeleka nje, passport yako wameshachukua, hata boss aliyekuchukua akutese vipi wao wanajifanya hawaoni ilimradi wanalipwa.
Kazi nyingi huko ni za mashambani, ulinzi na vibarua vya ujenzi.
Nimekatisha tamaa au nimeongea uhalisia ?Usimkatishe mwenzako tamaa, mwache ajaribu kwani kila kazi ina mazuri na challenges zake.
Job at DHL Express - Dubai, Tele-sales ManagerNimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi mimi ndie kaka mkubwa wa familia, najiona kabisa nimeanguka, najiona napoteza uelekeo kila kukicha, nimekuja humu najua kuna watu wa hadhi na kariba tofauti tofauti, maana waswahili husema "mficha maradhi kifo humuumbua"
Nimehangaika kutafuta kazi, ni kweli nipo kwenye kazi ambayo mshahala ni 250k baada ya makato, huo mshahala unanifanya niishi kwa madeni hata kabla sijaupokea unakuwa teyari umeshaisha, sasa ndugu zangu kwa umri wangu huu 25+ najiona kabisa ndoto zangu hazitotimia, nikiwa na akili timamu ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya ajira, ata ya ULinzi, na nyinginezo kwenye nchi za kiarabu haswa Doha, Qatar anisaidie pengine huko maslahi yanaweza kuongezeka.
Nimejaribu kufuatilia kwenye mitandao nakutana na maagency ambao wapo nchi za jirani inakuwa ngumu kwangu kuwafikia kwani wengi wao wapo Kenya ama Uganda.
Ndugu zanguni ni matumaini yangu kilio changu kiapatiwa ufumbuzi.
Elimu yangu ni ya kidato cha nne, sijasoma kihivyo ila ujinga wa kuelewa kingereza kidogo nimeuondoa hivyo ninaweza kingereza japo si sana.
Niunganishe kaka...kama kuna mtu unamjua...ata na uyo ndugu yako...nizungumze nae...pengine nipata pa kuanzia...sikufichi ata hapa tz nafanya kazi ya ulinzi...sasa nimesikia kidogo huko kwenye nchi za kiarabu kidogo mshahala upo juu...Nina ndugu yangu alikuwa anaunganisha watu kwenda huko uarabuni kufanya hizi kazi.
Ila ni kazi za hatari kwasababu waarabu wengi ni watu wenye roho mbaya sana. Na kazi nyingi kwa wanaume huko uarabuni zinafanywa na wahindi, pakistanis etc
Sasa unaweza usibaguliwe na mwarabu lakini ukabaguliwa na wahindi.
Utaratibu wa kazi huko ni kama wa kampuni za ulinzi au usafi zinavyofanya kazi hapa kwetu
Maana yake kuna makampuni ndio yanawachukua, then ndio yanawakodisha kwa maboss.
Challenge nyingine kubwa ni ukiajiriwa na kampuni ambayo wao wanachoangalia ni pesa. Wakishakupeleka nje, passport yako wameshachukua, hata boss aliyekuchukua akutese vipi wao wanajifanya hawaoni ilimradi wanalipwa.
Kazi nyingi huko ni za mashambani, ulinzi na vibarua vya ujenzi.
Nitaulizia leo jioni. NitakushtuaNiunganishe kaka...kama kuna mtu unamjua...ata na uyo ndugu yako...nizungumze nae...pengine nipata pa kuanzia...sikufichi ata hapa tz nafanya kazi ya ulinzi...sasa nimesikia kidogo huko kwenye nchi za kiarabu kidogo mshahala upo juu...
Job at Nakilat - Doha, Administrative Assistant - TransportNimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi mimi ndie kaka mkubwa wa familia, najiona kabisa nimeanguka, najiona napoteza uelekeo kila kukicha, nimekuja humu najua kuna watu wa hadhi na kariba tofauti tofauti, maana waswahili husema "mficha maradhi kifo humuumbua"
Nimehangaika kutafuta kazi, ni kweli nipo kwenye kazi ambayo mshahala ni 250k baada ya makato, huo mshahala unanifanya niishi kwa madeni hata kabla sijaupokea unakuwa teyari umeshaisha, sasa ndugu zangu kwa umri wangu huu 25+ najiona kabisa ndoto zangu hazitotimia, nikiwa na akili timamu ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya ajira, ata ya ULinzi, na nyinginezo kwenye nchi za kiarabu haswa Doha, Qatar anisaidie pengine huko maslahi yanaweza kuongezeka.
Nimejaribu kufuatilia kwenye mitandao nakutana na maagency ambao wapo nchi za jirani inakuwa ngumu kwangu kuwafikia kwani wengi wao wapo Kenya ama Uganda.
Ndugu zanguni ni matumaini yangu kilio changu kiapatiwa ufumbuzi.
Elimu yangu ni ya kidato cha nne, sijasoma kihivyo ila ujinga wa kuelewa kingereza kidogo nimeuondoa hivyo ninaweza kingereza japo si sana.
Job at Pipecare Group - Dubai, Personal AssistantNimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi mimi ndie kaka mkubwa wa familia, najiona kabisa nimeanguka, najiona napoteza uelekeo kila kukicha, nimekuja humu najua kuna watu wa hadhi na kariba tofauti tofauti, maana waswahili husema "mficha maradhi kifo humuumbua"
Nimehangaika kutafuta kazi, ni kweli nipo kwenye kazi ambayo mshahala ni 250k baada ya makato, huo mshahala unanifanya niishi kwa madeni hata kabla sijaupokea unakuwa teyari umeshaisha, sasa ndugu zangu kwa umri wangu huu 25+ najiona kabisa ndoto zangu hazitotimia, nikiwa na akili timamu ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya ajira, ata ya ULinzi, na nyinginezo kwenye nchi za kiarabu haswa Doha, Qatar anisaidie pengine huko maslahi yanaweza kuongezeka.
Nimejaribu kufuatilia kwenye mitandao nakutana na maagency ambao wapo nchi za jirani inakuwa ngumu kwangu kuwafikia kwani wengi wao wapo Kenya ama Uganda.
Ndugu zanguni ni matumaini yangu kilio changu kiapatiwa ufumbuzi.
Elimu yangu ni ya kidato cha nne, sijasoma kihivyo ila ujinga wa kuelewa kingereza kidogo nimeuondoa hivyo ninaweza kingereza japo si sana.
Hizi kazi zipo sawa ila shida yake wanataka mtu ambaye yuko tayari nchini kwao. Wewe ukiwa Bongo uki apply kupitia hizo apps utaishia tu kuitwa interview au unaambiwa location not suitable for the Position.Job at Nakilat - Doha, Administrative Assistant - Transport
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Posta mpya pale opposite na Embassy hotel jengomtaa gani ndugu