Salaam,
Naombeni msaada. Nimeenda kununua wameniambia laki 2 na nusu..hapo bado installation ya window 7..
Nimehangaika nimepata window 7 tena haina key so nimeskip activation. Shida imebaki Ms office. Je kuna mahali naweza download? ama kama kuna mdau anayo Cd yake akinisaidia ntashkuru.
Thanks.

naomba link mkuu
naomba link mkuu
umeambiwa search microsoft office 2013 kwenye search box ya jf utapata links kwenye post zilizopita
Mkuu uko wapi? Hizo tunapeana bure tu!
mkuu nashkuru nimefanikiwa kuinstal toka jf store.
Ila link ya activation haijasaidia. Inanileta kudownload download app nyng lakn had sasa sijaweza kupata activation.