Msaada Mwanza kwenda Nairobi

Msaada Mwanza kwenda Nairobi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,693
Reaction score
21,765
Msaada , nataka kwenda Nairobi kutokea Buzuruga stendi.
Maswali yangu ni
Lipi basi zuri?
Nauli kiasi gani?
Safari ni masaa mangapi?
Vipi kuhusu chanjo mpakani?
Nk.
Natanguliza shukrani
 
Msaada , nataka kwenda Nairobi kutokea Buzuruga stendi.
Maswali yangu ni
Lipi basi zuri?
Nauli kiasi gani?
Safari ni masaa mangapi?
Vipi kuhusu chanjo mpakani?
Nk.
Natanguliza shukrani
Katafute hati ya kysafiria kwanza wewe.. Hiyo sio safari ya chato
 
Msaada , nataka kwenda Nairobi kutokea Buzuruga stendi.
Maswali yangu ni
Lipi basi zuri?
Nauli kiasi gani?
Safari ni masaa mangapi?
Vipi kuhusu chanjo mpakani?
Nk.
Natanguliza shukrani
Panda mkokoteni wa punda stendi ya Lamadi....
 
Back
Top Bottom