Msaada: Mwanangu kameza bolt, nimsaidieje?

Hamna mkuu humu kuna wataalamu wa aina mbali mbali ndio maana wana eleza matatizo yao na wanasaidiwa....au kupata ushauri...
 
Hamna mkuu humu kuna wataalamu wa aina mbali mbali ndio maana wana eleza matatizo yao na wanasaidiwa....au kupata ushauri...

ni kwel mkuu sikatai!!! lakn naona ka watu wanaitumia tofaut, nilidhan hapa ingekuwa plan B wakat plan A tayar!! let say umeomba ushaur haujapata comment ya maana 2hrs unafanyaje!

coz uelewe si wote mda wote wako online hasa wenye busy ya kutosha!
 
mkuu kama huna cha maana bora kukaa kimya. Nimepata walioshauri vizuri. Nachambua pumba na mchele.
 
mkuu kama huna cha maana bora kukaa kimya. Nimepata walioshauri vizuri. Nachambua pumba na mchele.

na michanga utoe...! maana naona akil yako ndo imejaa michanga kuliko idadi ya pumba kwenye mchele
 
mods msipodhibiti baadhi ya watu jf itakuwa na wapuuzi zaidi ya fb.

SAUTI YAKO hivi mtu anaweza akawa katika hatari ya afya halafu una log in JF kupata ushauri? Tanzania huduma za afya zimesambaa kila kona... Ni ujinga ikiwa umepata shida inayohitaji mahitaji ya dharula, halafu wewe waingia mtandaoni kuuliza maswali...
 
Last edited by a moderator:
Pole kaka sirluta cha muhimu mlishe chakula cha kutosha na matunda kama papai ili aweze kuishusha hiyo bolt
Fanya hivyo kwa cku tatu mfululizo utapata matokeo.
 
hivi jamani ishu kama hii ndo ya kuiletea utani namna hii?
Hv jamani issue km hii imekutokea,Hv kweli unapataje muda wa kukaa na kuanza kuomba msaada kwenye mtandao?kwani hospital hakuna?huo muda anaanza kutaka ushauri c angewahi hospital kuokoa maisha ya mtoto.badala yake anauliza swali jf.haya ndo ashapata majibu aliyoyataka.hv kweli mwanao amemeza kitu hatar km hicho bado umekaa unasubiri watu wachangie ndo ujue?mkuu hayupo serious na mwanae.
 
Ukifuatilia maoni ya wadau humu ndani utagundua kumbe TZ tumejaza mataahira kibao kila kona!! Ukombozi Wa kifikra ni ndoto kwa aina ya watu tulionao! Sasa mtu anaropoka eti "mlishe spana" huyu ana akili timamu? Pu.mba.vu kabisa!
 
jamaa kaomba ushauri sema watu wa hapa hajamjibu vizur na anajua hapa ndo hom pa ma great thinker ss mtu anasema mpe spana pamevamiwa hapa hamna kitu.
 
Umeongea vzr~umeshauri vzr~kawaida kama bolt hiyo ingekuwa bado kooni tatizo lingekuwa kubwa na mama mtoto asingepata hata nafasi ya kukumbuka kuna jf kuweka uzi huu! bolt hiyo itatoka kwa njia ya haja kubwa hakikisha unakagua kinyesi kuipata bolt hiyo ili upate amani~na hiyo gereji hapo nyumbani muihamishe
 
uko sawa kabisaaa mkuu jf iwe hatua ya mwisho kwenye kutatua tatizo na sio hatua ya kwanza... miaka ijayo utashangaa mtu anaomba ushauri ndugu yake anakaribia kukata roho so afanyaje
 
Pole kaka sirluta cha muhimu mlishe chakula cha kutosha na matunda kama papai ili aweze kuishusha hiyo bolt
Fanya hivyo kwa cku tatu mfululizo utapata matokeo.

nashukuru mkuu, ushauri wako nimeuzingatia.
 
sawa mkuu, kooni ilipita hivyo nadhani itakuwa tumboni, matunda kwa wingi na kukagua haja kubwa ndicho nakifanya.
 
mwanangu wa miaka mitatu amemeza kabolt kadogo, nimejaribu kumshindilia ugali ili ajisaidie bila mafanikio. Msaada wapendwa kabla sijampeleka hospitali kesho.

mpe dawa ya kuharisha, vyakula mpe viazi na mapapai,kisha mpe dawa ya kuharisha ataiharisha.kila anapoharisha kagua kinyesi chake kwa umakini kisha leta mrejesho.
 
Hivi ndugu yangu unafikiri kila mada inayoletwa humu inahitaji ushauri unafikiri mada zote huwanga ni za ukweli.

watu siku wamepata akili namna ya kuwakilisha mada zao, ili apate mawazo mengi, ya kwamba je? ikitokea itakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Hivi ndugu yangu unafikiri kila mada inayoletwa humu inahitaji ushauri unafikiri mada zote huwanga ni za ukweli.

watu siku wamepata akili namna ya kuwakilisha mada zao, ili apate mawazo mengi, ya kwamba je? ikitokea itakuwaje?

pole yako usiyeamini. Kwann nimtengenezee mwanangu uwongo? Kama huna mchango wa maana si lazima ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…