KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,769
- 39,535
ila jaman hata mleta mada namshangaa!! mtoto yuko kwenye hatar na hujui huko tumbo kitu kimekaaje, unakimbiia huku kwa watu ambao hawana vifaa wala hawamuoni mwanao yukoje...!
ndo maana wengine wanaonna mleta mada hayuko serious na maisha ya mwanaye!! sasa kama mwenye mtoto anawaza MMU badala ya hospital ya karibu nani atakuwa serious!!? pipo they not serious!!! mleta mada mwenyewe anatania
Hamna mkuu humu kuna wataalamu wa aina mbali mbali ndio maana wana eleza matatizo yao na wanasaidiwa....au kupata ushauri...