sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
- Thread starter
- #41
uko sawa kabisaaa mkuu jf iwe hatua ya mwisho kwenye kutatua tatizo na sio hatua ya kwanza... miaka ijayo utashangaa mtu anaomba ushauri ndugu yake anakaribia kukata roho so afanyaje
unadhani watu wote tunaishi mjini? Bolt imeshafika tumboni, si kila kitu upanic, unawezakimbilia kupasua tumbo wakati hiyo ni hatua ya mwisho