Msaada mvua zimeharibu dstv yangu

Msaada mvua zimeharibu dstv yangu

kussy

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2010
Posts
409
Reaction score
125
Wadau msaada toka hizi mvua zimeanza Dstv yangu imekata, kuna jinsi naweza kurekebisha mwenyewe au niite wataalamu wa madish?
 
Kama unaweza kurekebisha mwenyewe ni vizuri,maana itakupunguzia gharama.Ila kama huwezi,huna budi kuwaita watalam wa hayo mambo.Lakini napenda kukumbusha kitu kimoja,kukatika kwa DSTV wakati mvua inapokuwa inanyesha hakuepukiki maana wanatumia Ku Band ambayo inaathirika sana kunapokuwa na mabdiliko ya hali ya hewa hasa mvua inapokuwa inanyesha.
 
Back
Top Bottom