Msaada: MUONEKANO WA TITLE ZA THREAD

king kan

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,629
2,043
Kuna kitu kinanitatiza ni kwa nini thread titles kwenye forum au new posts nyingine zinakuwa na wino mzito (bold) na wengine zinakuwa normal (hazina bold). Nahitaji kujua zenye bold mnafanyaje kwani thread title zangu huwa katika muonekano wa kawaida.
 
zenye bold ni ambazo hujazisoma au ulizisoma an then kuna reply mpya imekuja. Ambazo hazina bold umezisoma
 
mbona kuna thread huwa zinakuwa new kwa maana sijasoma kila napocheki new posts ila zinakuwa hazina bold, halafu kuna thread nyingine nisome au nisisome bado zinakuwa bold au nyingine hazina bold hata nikifanya yote hazibadiliki kaka.
 
Thread za siku zilizopita(zaman) automatic zinajiondoa bold na mfano umesoma thread an then ukachange device au browser ukarudi tena zitaonekana kama hujazisoma
 
mimi mwenyewe nashangaa kila nikituma post zangu hata ka nilitumia herufi kubwa zinajiweka herufi ndogo zenyewe na haziwi bolded utafikiri ni za zamani,mfano mida c mirefu hali hii imetokea tena
 
Post zako mwenyewe inakua ushazisoma so hazikai bold ila mtu mwengine anaona ziko bold
 
Back
Top Bottom