Msaada: Muda wa kukaa kazini kabla ya ku~upgrade

Msaada: Muda wa kukaa kazini kabla ya ku~upgrade

vnn

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
3,030
Reaction score
7,497
Habari wana JF,

Naombeni kwa anaefahamu anisaidie jamani ukiajiriwa kazini unaruhusiwa kufanya kazi kwa miaka mingapi ndo uruhusiwe kwenda kujiendeleza na masomo?

Natanguliza shukrani.
 
Dah.....Inategemea na asili ya kazi/utaalam yako...kuna kazi nyingine ikipita miezi 6 tu...imekula kwako
 
Back
Top Bottom