Msaada: Muda wa kujiunga JKT

Msaada: Muda wa kujiunga JKT

mama na baba

Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
33
Reaction score
1
Wadau mimi ni mmoja wa wanaopenda kujiunga na JKT mwaka huu, vipi huko kwenu nafasi zimeshatangazwa maana huu ndo mwezi wa pili msaada please
 
bado kaka wanadai hadi waliyoko xaxiv vikosin hawajapata ajira kwaiyo mzigo had mwez wa tano kakaa
 
lakini lile tangazo lao linasema usaili unafanyika mwezi wa tatu na wa nne vipi kuna ukweli hapo
 
tuwe na subira,inasemekana mwezi huu wa 2,tar 28 wataanza kupeleka fom mikoani na wilayani ,fom ambazo tutatakiwa kuzijaza,,,
 
Back
Top Bottom