Msaada mtoto wangu mbegu moja imepotea

Yamkini ilikuepo hapo kabla basi ondoa Hofu itarudi.
 
Ni mtoto wangu wa kwanza tulimpeleka kituo cha afya akapatiwa dawa ila hali bado. Kwa anaejua zaid kwa mliotangulia kupata watoto kabla naomba msaada wa mawazo
We unazo zote mkuuπŸ₯Ί , pole lakin
 
Atapona tu ni suala la muda mwili waa mtoto au mtu yoyote unajijenga wenyewe haujemgwi na Daktari ungekua mwili unajengwa na Daktari Papa asingekufa maana Madaktari wamehangaika wameshindwa ngoma ngumu
Kama pumbu imekwamia tumboni mwanangu mpaka ishushwe kwa upasuaji! Mungu tutamsingizia!
 
Ana umri gani na je anasumbuliwa na tumbo kuunguruma kama ndio njoo pm nikupe dawa ya asili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…