Kategele
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,021
- 2,357
Nilipewa rufaa kuanzia wilayani, nikaenda Bugando then Muhimbili then rufaa ya India. Kumpeleka wakasema nilichelewa kugundua tatizo kwahiyo hawezi kufanyiwa operation kwan umri ulikuwa umeenda sana ilitakiwa afanyiwe akiwa na miezi 3. Nikarudi kwa neema ya Mungu mtoto anaendelea vizuri na kukua kwa taratibu lakini hasumbuki kama mwanzo.Uliweza kupata matibabu?