Msaada; Mtoto wa miezi miwili analia sana!!

hiyo ishatokea kwa mtoto wangu, tulikesha na mke wangu. Kila mtu alisema lake, mara jina, mara hashibi n.k. tulimpeleka kanisani akaombewa ndo akapona
Kamisa gani mkuu na mm nmepeleke.. Coz almost hatujawah pumzika.. Ninkilio tu.. Ata mama hajapata wasaa wa kupumzika toka ajifungue.
 
Na hakuna kitu kinakosesha raha kama mtoto kulia masaa yote.. Na kunakipindi hataki umuweke chini anataka umbebe tu.. Ukimlaza chini kilio.. Yani kanatupa wakati mgumu sana
 
Jamani mtoto anamiezi miwili lakini analia sana.. Si mchana si usiku.. Tumejaribu remedy mbalimbali ikiwemo kumtoa gesi tumboni kwa kumlazia tumbo lakini bado hali tete.. Sababu inaweza kuwa nn?

Samahani Bibi Yake au Shangazi yake anaweza patikana haraka Mkuu.. Kama yupo nakuomba muite aje utakuja kunipa ushuhuda.
 
Mkuu sijakuelewa.. Michango gani hyo unaiongelea.. Naomba uweke wazi as tunahitaji msaada.

Umeambiwa Huyo Ni Mwanao watu walidhani kuwa wewe ni Ke kuwa ampeleke kwa Baba Yake, sawa hilo Umejibu, Waliouliza wanasababu.. Pia Umeambiwa Je Bibi Yake amemtia baraka zake? Umeambiwa kuhusu Kunyonya na kuambiwa ana Shiba? Ukahisi kuwa anashiba, tatu umeambiwa umpeleke au umuite hata Mchungaji au Muumini yeyote unayeamini kuwa Unamuamini amuombeee umejibu kuwa mko busy.. Mkuuu Mtoto halii bila sababu na zingine hatuwezi kuziona zingine ni za Imani ya Makuzi yetu.. Taboos
 
Mkuu kuhusu bb mama anasaidiwa na bb upande wangu(mwanaume).. Nmeuliza labda kuna haja ya kumleta na bb upande wa mama.. Na kuhusu mchungaji nmemuomba jamaa atuambie kanisa alilompeleka mwanaye akaombewa ili na mm nmepeleke mwanangu aombewe.. As tupo disperate
 
Jamani mtoto anamiezi miwili lakini analia sana.. Si mchana si usiku.. Tumejaribu remedy mbalimbali ikiwemo kumtoa gesi tumboni kwa kumlazia tumbo lakini bado hali tete.. Sababu inaweza kuwa nn?
Pole. ndio watoto walivyo. Hiyo ndio njia yao ya kujielezea iwapo hajuona kuwa hawako vizuri. Mara nyingi hulia kwa sababu ya njaa,Ugonjwa,joto, njaa au aina fulani ya maumivu.
Utapewa ushauri kibao, mar hivi mara vile.
Ila mwishowe kabisa nakushauri mpeleke kwa Daktari.

Kuna wakati nilisoma ushauri kibao humu, kwenda kwa daktari hakuna hata moja ya humu yaliyosaidia. Daktari akampa amoxylin syrup, akapopata nafuu.

So, mpeleke kwa Dr kwa ushauri bora zaid.
 
Nashukuru mkuu
 
Back
Top Bottom